MILCAH28 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 1,140 Reaction score 327 Nov 19, 2014 #1 Naomba kuuliza hivi...Ukiwa na vifaranga 100....local.... Utaitaji kilo ngapi za chakula uvilishe kwa week... Vya siku1-week
Naomba kuuliza hivi...Ukiwa na vifaranga 100....local.... Utaitaji kilo ngapi za chakula uvilishe kwa week... Vya siku1-week
Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Nov 19, 2014 #2 Nijuavyo mimi kuwa kifaranga cha siku moja hadi 7 kinakula gram 25 kwa siku, Acha na wengine waje wakupe somo kama wajuavyo
Nijuavyo mimi kuwa kifaranga cha siku moja hadi 7 kinakula gram 25 kwa siku, Acha na wengine waje wakupe somo kama wajuavyo
M Mama Joe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2009 Posts 1,504 Reaction score 840 Nov 21, 2014 #3 mie hutumia mfuko wa kg 50 kwa mwezi wa kwanza kidogo kidogo inaongezeka na umri.