Heshima kwenu GT.
Mimi ni mmoja wa wahitimu niliofanya vibaya katika matokeo ya kidato cha sita. Sasa nataka nitumie cheti changu cha form 4 nikasome diploma ya madini. Ukiacha chuo cha madini cha dodoma mana admision zmefanyika, ni chuo gani kingne bora kinachofundisha madini nchini kwetu?