bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
Naomba wadau mnisaidie kupata chuo kinachotoa kozi ya ushauri nasaha miezi sita na ada za hvyo vyuo kwenye hyo kozi. Napenda sana sana nipate vyuo vilivyopo tmk make nataka mama watoto asome hyo kozi lkn awe karibu na nyumbani. Kama tmk vitakuwa hamna, basi hata maeneo jirani.