Msaada kuhusu chuo kinachohusiana kazi fupi za ushauri nasah dar kwa ujumla lakini sana sana temeke.

Msaada kuhusu chuo kinachohusiana kazi fupi za ushauri nasah dar kwa ujumla lakini sana sana temeke.

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Naomba wadau mnisaidie kupata chuo kinachotoa kozi ya ushauri nasaha miezi sita na ada za hvyo vyuo kwenye hyo kozi. Napenda sana sana nipate vyuo vilivyopo tmk make nataka mama watoto asome hyo kozi lkn awe karibu na nyumbani. Kama tmk vitakuwa hamna, basi hata maeneo jirani.
 
Back
Top Bottom