Davis chelsea
Member
- Jul 28, 2011
- 93
- 10
mwambie asisome zote...
accounting
Banking and Finance nafikiri ni nzuri zaidi, ina wigo mpana tofauti na accounting.
Soma accounts mdau
napata shida sana kuwashauri wanaoniuliza kwa sababu hakuna naloliojua kuhusu hizi course kati Bachelor of Accounting na Bachelor of Banking and Finance. ​kuna mtu anataka kusoma kozi moja kati ya hizi pale ifm,,,,nimshauri je???
poa mdau..vipi kuhusu ajira zake?
mimi nasoma udsm....bsc in generalWewe umesoma ipi kati ya hizo?
mimi nasoma udsm mzee.....collage CONAS..course bsc in generalKwan ukisema ni wewe hutashauriwa?? Kwanini usingizie watu??
yani kati ya hizo ni ipi inauraisi wa kupata ajiraAjira gani unayoulizia? Kama ya kuajiriwa ofisini ndo hakuna kabisaaa! JIPANGE KIVINGINE