Msaada kuhusu course nzuri ya kusoma

Msaada kuhusu course nzuri ya kusoma

Davis chelsea

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
93
Reaction score
10
napata shida sana kuwashauri wanaoniuliza kwa sababu hakuna naloliojua kuhusu hizi course kati Bachelor of Accounting na Bachelor of Banking and Finance. ​kuna mtu anataka kusoma kozi moja kati ya hizi pale ifm,,,,nimshauri je???
 
Soma discription za hizo faculty kupitia prorpectus za vyuo husika,zinapatikana kwenye website zao.
 
Banking and Finance nafikiri ni nzuri zaidi, ina wigo mpana tofauti na accounting.
 
napata shida sana kuwashauri wanaoniuliza kwa sababu hakuna naloliojua kuhusu hizi course kati Bachelor of Accounting na Bachelor of Banking and Finance. ​kuna mtu anataka kusoma kozi moja kati ya hizi pale ifm,,,,nimshauri je???

Wewe umesoma ipi kati ya hizo?
 
Kwan ukisema ni wewe hutashauriwa?? Kwanini usingizie watu??
 
Back
Top Bottom