msaada kuhusu course ya BIOTECHNOLOGY

msaada kuhusu course ya BIOTECHNOLOGY

The use of living organism,or living organism associates in technological field..Hwa ndio huwa wanafanya culturing,wanatengeneza sijui insulin kwa kutumia bakteria na the likes.Ina uhusiano wa moja kwa moja na genetic engineering..Kwa knowledge ya biology tu,walio deep wataongezea
 
na wanaajiriwa sana sehemu gani,maana kuna mdogo wangu ndio anataka kusoma hio,
 
wanaajiliwa kwenye sehemu mbalimbali kama vituo vya utafiti wa mbegu mbalimbali za kilimo, kwenye maabara za police kwa ajili ya genetic examinations as fingerprints,pia viwandani kama pale TBL, ko acwaze fursa ziko nyingi sana as wanaeza kutengeneza insulin pia,
 
na wanaajiriwa sana sehemu gani,maana kuna mdogo wangu ndio anataka kusoma hio,

Muulize ishu boy kwanini alianza kupigisha malekcha mchikichini nakati alikua and 2nd upper class ya SUA...

Bongo hii mambo haina ishu kabisa....
 
Muulize ishu boy kwanini alianza kupigisha malekcha mchikichini nakati alikua and 2nd upper class ya SUA...

Bongo hii mambo haina ishu kabisa....

jamaa anasema kweli..kama huamin chukua pamphlets lolote la Mandia na Issueboy either la chem or bio afu vutika had kene last cover ujionee mwenye dili kubwa la Biotechnology hapa bongo sio ulaya jaman
 
Back
Top Bottom