Food science and technology Kuna jamaa kamaliza SUA 2016 mpaka Leo yupo kitaani
Kuhusu Food and nutrition sijui vizuri Ila namjua mmoja yupo muhimbili anafanya kazi chaguo ni lako
Kwa sasa Ajira ni weweSoko la ajira kwa hizi course mbili lipoje?
Asome food science and technology ila akubaliane na mshahara kidogo🙁 ajira zake nyingi ziko kwenye viwanda vya wahindiHabari za wakati huu,
Nina mdogo wangu amemaliza form six comb ya CBN na angependa kusoma kati ya hizi course mbili Bsc in Human Nutrition au Bsc in Food Science and Technology.
Mwenye ana uelewa wa hizi course mbili zinadeal na nini haswa, na soko lake katika ajira liko vipi?
Kamaliza mwaka ganiFood science and technology Kuna jamaa kamaliza SUA mpaka Leo yupo kitaani.
Kuhusu Food and nutrition sijui vizuri Ila namjua mmoja yupo muhimbili anafanya kazi chaguo ni lako
2016 mkuu kashasahau Mambo ya kuajiriwa anapiga mishe zingineKamaliza mwaka gani
Hahah bro umefurahisha sana na Nyota ,,,,,Asante mkuu
Kwasababu ina wigo mpana wa kiajira..viwanda vingi sana vya food processing vinafunguliwa kila uchwao..pia anaweza jiajiri yeye kama yeye.Kwann bora food science?