Msaada kuhusu course ya Bsc. in Human Nutrition na Bsc. in Food Science and Technology

Msaada kuhusu course ya Bsc. in Human Nutrition na Bsc. in Food Science and Technology

snayper

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
302
Reaction score
217
Habari za wakati huu,

Nina mdogo wangu amemaliza form six comb ya CBN na angependa kusoma kati ya hizi course mbili Bsc in Human Nutrition au Bsc in Food Science and Technology.

Mwenye ana uelewa wa hizi course mbili zinadeal na nini haswa, na soko lake katika ajira liko vipi?
 
Afisa Lishe (nutrition)
Teknolojia ya Utayarishaji wa vyakula na vinywaji (food science)
 
Food science and technology Kuna jamaa kamaliza SUA mpaka Leo yupo kitaani.

Kuhusu Food and nutrition sijui vizuri Ila namjua mmoja yupo muhimbili anafanya kazi chaguo ni lako
 
Food science and technology Kuna jamaa kamaliza SUA 2016 mpaka Leo yupo kitaani

Kuhusu Food and nutrition sijui vizuri Ila namjua mmoja yupo muhimbili anafanya kazi chaguo ni lako
 
Food science and technology Kuna jamaa kamaliza SUA mpaka Leo yupo kitaani

Kuhusu Food and nutrition sijui vizuri Ila namjua mmoja yupo muhimbili anafanya kazi chaguo ni lako
Asante mkuu
 
Habari za wakati huu,

Nina mdogo wangu amemaliza form six comb ya CBN na angependa kusoma kati ya hizi course mbili Bsc in Human Nutrition au Bsc in Food Science and Technology.

Mwenye ana uelewa wa hizi course mbili zinadeal na nini haswa, na soko lake katika ajira liko vipi?
Asome food science and technology ila akubaliane na mshahara kidogo🙁 ajira zake nyingi ziko kwenye viwanda vya wahindi
 
Food science and technology Kuna jamaa kamaliza SUA mpaka Leo yupo kitaani.

Kuhusu Food and nutrition sijui vizuri Ila namjua mmoja yupo muhimbili anafanya kazi chaguo ni lako
Kamaliza mwaka gani
 
Akasome yeyote tu..anyoonaninafaa..ila ajue chngamoto za ajira ziko kote kote..nt kwa ushauri bora food science.

#MaendeleoHayanaChama
 
Akasome yeyote tu..anyoonaninafaa..ila ajue chngamoto za ajira ziko kote kote..nt kwa ushauri bora food science.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nikuambie kitu,

Huyu dogo pamoja na ww msiwe focused sana kwenye madigree.

Dogo si ana cheti cha form 4? na cha form 6 achague diploma moja asome for 2 years aingie mtaani

Msiwe rigid sana na madegree.

Kazi zimekua ngumu sana hasa kwa watu wenye elimu kubwa
 
Asome human nutrition, kazi zake ni hospital lakini pia anaweza kujiajiri kwa kufungua kijiwe cha kuwafanyia cancelling namna ya ku maintain Afya kwa watu wenye chronic illness mfano diabetes, HTN, HIV maana hizo skills atakua nazo

Pia itamuwezesha kuandaa chakula tiba kwa watu hao niliowataja hivyo ataweza kuuza hizo products.

NB: Ukienda kumpa huu ushauri niliotoa jitahidi umchangie mtaji wa kuyafanya hayo maana yanahitaji pesa
 
Kwann bora food science?
Kwasababu ina wigo mpana wa kiajira..viwanda vingi sana vya food processing vinafunguliwa kila uchwao..pia anaweza jiajiri yeye kama yeye.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom