Wakuu nimesoma Kenya chuo mwaka wa kwanza sahivi nataka kuhahamia Tz nmeomba credit transfer UDSM wameniambia siqualify sababu nmesoma system ya Kenya, naweza kujoin chuo gan kingine hapa bongo ambacho wanakubali system ya Kenya, naombeni msaada wenu wanajamvini