Msaada kuhusu Credit Transfer

Msaada kuhusu Credit Transfer

kuku87

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
1,220
Reaction score
295
Wakuu nimesoma Kenya chuo mwaka wa kwanza sahivi nataka kuhahamia Tz nmeomba credit transfer UDSM wameniambia siqualify sababu nmesoma system ya Kenya, naweza kujoin chuo gan kingine hapa bongo ambacho wanakubali system ya Kenya, naombeni msaada wenu wanajamvini
 
Kinachokufanya uhame kenya ni kitu gani??
 
anaomba msaada ili ahame siyo kwamba anaomba maswali kama hayo , kama una swali ni vyema ukatanguliza hata salamu kabla hujauliza;;;;;;
 
Nashukuru umenisaidia kumjibu mana kuna watu shida zao ni kutype tu hata hawajui wanatype nn
 
kumbe una hasira kiasi hicho.? au ni mwenyeji wa kanda maalumu? unaulizwa yawezekana huko umefeli anataka akuambie chuo kinachopokea watu wa mtindo huo.
 
Back
Top Bottom