Msaada kuhusu dawa ya NORETHISTERONE

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,684
Reaction score
2,156
Naombeni msaada wenu tafadhali kuhusu matumizi ya dawa hii. Inatibu nini hasa na sio dawa za uzazi wa mpango kweli!? Na inauhusiano wowote na maswala ya hormone kwa mwanamke!? Msaada wenu tafadhali
 
Naombeni msaada wenu tafadhali kuhusu matumizi ya dawa hii. Inatibu nini hasa na sio dawa za uzazi wa mpango kweli!? Na inauhusiano wowote na maswala ya hormone kwa mwanamke!? Msaada wenu tafadhali

Ni dawa ya uzazi wa mpango (oral contraceptive pill)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…