Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Naombeni msaada wenu tafadhali kuhusu matumizi ya dawa hii. Inatibu nini hasa na sio dawa za uzazi wa mpango kweli!? Na inauhusiano wowote na maswala ya hormone kwa mwanamke!? Msaada wenu tafadhali