flyn rider
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 456
- 78
wanaojua naomba mnijuze kuhusu hii degree ya official statistics inayotolewa pale EASTERN AFRICA STATISTICAL TRAINING CENTRE,soko lake la ajira na mengineyo mnayoyafahamu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashukuru kaka,hili swali ulibidi uulize kabla hujachagua hii kozi!!! hata kama haina soko na ushaguliwa kwa sasa haitasaidia...
kwa kifupi ni kozi nzuri na inahitaji ujuzi wa mathematics na sio bam namaanisha PURE MATHEMATICS.
hicho chuo nimepata data zake ni bingwa kwa statistics hapa africa mashariki na kati,hata bachelor yao curriculum yao imeshiba kuliko za vyuo vyote hapa tz,.tembelea tovuti yao utathibitisha,.
ata degree pia c unaweza kupga kazi za biostatistics@nimahussein