Msaada kuhusu DHL, UPS NA Fedex

Msaada kuhusu DHL, UPS NA Fedex

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,825
Reaction score
4,374
Ipi huduma bora na nafuu kati ya hizo?

Je, DHL huwa wanachaji gharama unapopokea mzigo? Mzigo wangu NI bahasha tu ya documents. Ninaipokea kutoka Afrika Kusini.
 
Kuna MTU kanitisha kasema kuna delivery charge, eti gharama ya kupokea mzigo hata bahasha tu hapo DHL
 
Back
Top Bottom