Ila saa zingine hii misamaha imekaa ki Theory zadi na uaweza jutia, Mzigo unaqweza fika Bandarini mpaka umalizane na TRA ni mwezi umekata na ghalama za mzigo kukaa pale unakuta ni kubwa bora tu ungelipa Kodi,
Kuna vifaa vya Kilimo ila siwmba n Free Tax, VAT iko pale pale ila Import Duty ndo hakuna, mimi niliagiza mashine fulani nikakutana na hayo mambo, ila some time napo ghalama zingine za Bandarini ni kubwa kuliko hata hizo kodi za TRA, hapo unakuwa hujakutana na TBS hapo ni lazima wachukue chao, bado sijuia Bandari, mara sijuia gharamaza kukagua, mara sijui nini kwa kifupi Bandarini kuna chaji nyingi sana kuliko hata hizo za TRA,
Na msamah wa kodi haumanishi usamehewe hataghalama zingine,