Msaada kuhusu duty free goods

Msaada kuhusu duty free goods

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
10,682
Reaction score
10,801
Wakuu hivi ni bidhaa gani zinaruhusiwa kuingia nchini mwetu bila kutozwa kodi (import duty/VAT)? nimejaribu kupitia website ya tra sijafanikiwa kuona hii kitu. Mwenye kujua tafadhali anijuze, hata kama unajua moja we taja tu, mwenye orodha nzima itakuwa bomba zaidi.

Nawasilisha
 
Mambo vipi bwana mito..pale TRA kuna kitu wanaita category A hapa mmoja wa watu waliopo katika kundi hili ni wale walioishi nje ya Tanzania kwa zaidi ya mwaka mmoja unawezaingiza vitu bila kulipa ushuru wowote kitu unachotakiwa kufanya ni kumpatia clearing agent docs zote pamoja na kopi ya visa iliyokuwa cancelled ukifanya hivyo utapata msamaha wa kodi ya kitu kimojakimoja yaani mfano gari moja..friji moja..pikipiki moja..sofa set moja..tv moja nk watu wengi wameishi nje lakini hawajui utaratibu huu,mimi nilifanya wakati visa yangu ya miaka 3 ya dubai imekwisha nikai cancel na kubadilisha..zaidi ya njia hii sijui vitu vingine unavyoweza agiza bila ushuru ila najua vyenye punguzo tu...
 
nipo mkuu lucy sabasaba, nitakucheki kama clearing agent wangu mchakato wangu wa kuagiza gari ukikamilika. Sasa we uko dubai ofisi umemwachia nani? au kuna vijana wanapiga kazi kama kawa?
 
nasikiaga eti vitabu havina ushuru, sijui ni kweli?
 
Ila saa zingine hii misamaha imekaa ki Theory zadi na uaweza jutia, Mzigo unaqweza fika Bandarini mpaka umalizane na TRA ni mwezi umekata na ghalama za mzigo kukaa pale unakuta ni kubwa bora tu ungelipa Kodi,

Kuna vifaa vya Kilimo ila siwmba n Free Tax, VAT iko pale pale ila Import Duty ndo hakuna, mimi niliagiza mashine fulani nikakutana na hayo mambo, ila some time napo ghalama zingine za Bandarini ni kubwa kuliko hata hizo kodi za TRA, hapo unakuwa hujakutana na TBS hapo ni lazima wachukue chao, bado sijuia Bandari, mara sijuia gharamaza kukagua, mara sijui nini kwa kifupi Bandarini kuna chaji nyingi sana kuliko hata hizo za TRA,

Na msamah wa kodi haumanishi usamehewe hataghalama zingine,
 
All IT equipments and Consumables ni duty free.

mkuu Mwanahisa ufafanuzi zaidi hapo kwa red, je wino wa printer na ule wa mashine za photocopy uko kwenye kundi hilo au? i know it's consumable, but is it duty free as well? nataka kupata uhakika mkuu
 
Back
Top Bottom