Msaada kuhusu estimation ya ujenzi wa concept hii

CAPTORHINOMORPHS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2019
Posts
3,048
Reaction score
7,608
Habari wana JF natumaini mwaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa
Kwa wenye idea au uzoefu kuhusu ujenzi wa chumba kimoja master ningeomba msaada wa price estimation ya ujenzi wa idea hii

Credit to Sky Eclat nimechukua picha kwenye uzi wake

Natanguliza shukrani zangu.



 
Mie nimejenga mwaka huu chumba kimoja full kina ukubwa wa 4m kwa 4m na choo 1.5m kwa 4m so kwa ujumla kimechukua eneo la 5.5m kwa 4m kimenigharimu milioni 7. Ujenzi wake ni paa la kujificha na pia nilitumia aluminium windows na choo nilijenga cha walemavu chenye sehemu za kushika pembeni. Nilimjengea mzee ili aishi kidon bush

Pia niliweka tiles, gypsum na heater chooni. Hivyo vyote vilikaa kwenye 7m
 
chikua mil7 toa gharama za aluminium windows, paa la kujificha,heater uone pesa inayobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…