CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How much kwa cement na pesa ya fundiAndaa matofali 1,000 yakibaki yatakusaidia baadae, kati ya hayo 300 weka ya msingi. Kwa budget hii unapata chumba chenye walk in closet.
Ahsante chief,, kwa m4 vp inamalizika plus finishing??ANDAA 3MIL. PAMOJA NA KARO LA MAJI MACHAFU FINISHING NDOGO NDOGO UTAMALIZIA UKIWA KWAKO! SERIOUS
HII VYUMBA VIWILI INATOA MKUUAndaa 5m.
BILA SHAKA NDUGU! AMINI USIAMINI.! TULIZA AKILI TUAhsante chief,, kwa m4 vp inamalizika plus finishing??
chikua mil7 toa gharama za aluminium windows, paa la kujificha,heater uone pesa inayobakiMie nimejenga mwaka huu chumba kimoja full kina ukubwa wa 4m kwa 4m na choo 1.5m kwa 4m so kwa ujumla kimechukua eneo la 5.5m kwa 4m kimenigharimu milioni 7. Ujenzi wake ni paa la kujificha na pia nilitumia aluminium windows na choo nilijenga cha walemavu chenye sehemu za kushika pembeni. Nilimjengea mzee ili aishi kidon bush
Pia niliweka tiles, gypsum na heater chooni. Hivyo vyote vilikaa kwenye 7m
HII VYUMBA VIWILI INATOA MKUU