msaada kuhusu fixed account

msaada kuhusu fixed account

Makirita Amani

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
1,915
Reaction score
3,422
nataka kuweka fedha katika fixed account, naomba kwa wenye uelewe mniambie ni bank gani hapa tanzania ambayo inatoa kiwango kikubwa cha riba kwenye fixed account. au kama kuna benk yenye akaunt fulani ambayo inatoa riba kubwa.
 
Katika fixed account..sifa ya kwanza bank itakutaka uwe na account ktk bank yao asilimia ya riba inategemea na kiwango unachoweka...niliwahi kuweka nmb faida ilikuwa ndogo sana...nbc kwa fixed account si wabaya ukiweka 12ml kwa mwaka mmoja itazaa almost 2ml...japo si kubwa sana lakini ni bora
 
Mkuu una uhakika na hilo ? ? karibia 17%
 
Wasiliana na nbc sehemu ya fixed acc..watakupa fomu inayoonyesha riba kuanzia miezi mitatu na kuendelea...milioni 10 ni 9% kwa mwaka check nao watakupa maelezo...wana matawi mengi sana hapo mjinie
 
Equity!!!!hawachelewi kufunga wale....watu walilia sana meridian biao bank
 
Naskia Nmb unapata asilimia tano kila baada ya miezi mitatu!
 
Asilimia upatayo inategemea umeweka kiasi gani..ukiweka 10ml mwingine akaweka 3ml riba haiwezi kuwa sawa hao equity bank wana matawi mangapi nchi hii???
 
Tafuta kiwanja kizuri nunua, ndani ya mwaka mmoja thamani itakuwa imeongezeka kwa zaidi ya 50%, yaani kama umenunua kwa 10m, baada ya mwaka unaweza kuuza kwa zaidi ya 15m. Achana na hizo fixed account za bongo ni miyeyusho tu, maximum interest unayoweza kupata kwenye fixed account ni 12% p.a wakati wenyewe bank wanakopesha kwa riba ya 20% na zaidi. Kifupi ukiweka hela kwenye fixed account inakula kwako, hiyo riba kidogo wanayokupa haiwezi hata kucover mfumuko wa bei.
 
Asanteee! Nikurekebishe, inflation ya ardhi inaweza kufika hata 100% per annum. Fixed deposit unless una 100 M hailipi kabisaa.

Back
Top Bottom