Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,915
- 3,422
Katika fixed account..sifa ya kwanza bank itakutaka uwe na account ktk bank yao asilimia ya riba inategemea na kiwango unachoweka...niliwahi kuweka nmb faida ilikuwa ndogo sana...nbc kwa fixed account si wabaya ukiweka 12ml kwa mwaka mmoja itazaa almost 2ml...japo si kubwa sana lakini ni bora
Tafuta kiwanja kizuri nunua, ndani ya mwaka mmoja thamani itakuwa imeongezeka kwa zaidi ya 50%, yaani kama umenunua kwa 10m, baada ya mwaka unaweza kuuza kwa zaidi ya 15m. Achana na hizo fixed account za bongo ni miyeyusho tu, maximum interest unayoweza kupata kwenye fixed account ni 12% p.a wakati wenyewe bank wanakopesha kwa riba ya 20% na zaidi. Kifupi ukiweka hela kwenye fixed account inakula kwako, hiyo riba kidogo wanayokupa haiwezi hata kucover mfumuko wa bei.