Hivi Open university wanayo? Ni kitu kipya kusikia kwanguOption ni mbili soma firm six upya au jiunge na open usome foundation course
Sema kwa kujiunga na kozi za afya haiwezekani lazima urudie sixHivi Open university wanayo? Ni kitu kipya kusikia kwangu
Hiko ndo najua kwa koziya afya haipo hiko kitu..na kama kashinda diploma kupata angalau maksi za kuendea huko form 6 hataweza kabisa maana bila ya 1.3-6 asahau watoto wanafaulu sana.Ndio ipo
Sema kwa kujiunga na kozi za afya haiwezekani lazima urudie six
Kabisa skuizi madogo wanspasua competition imekuwa kubwaHiko ndo najua kwa koziya afya haipo hiko kitu..na kama kashinda diploma kupata angalau maksi za kuendea huko form 6 hataweza kabisa maana bila ya 1.3-6 asahau watoto wanafaulu sana.
Kwa kweli kamanda yaani skuizi walivo rahisisha sana madogo wanapiga first class tuKweli CO umeshndwa kufikisha GPa ya 3.0 basi hamna haja ya kuongeza elimu.
Mkuu jaribu Kampala University ukatimize ndoto zakoKwa graduate wa Clinical Officer ambao wameshindwa kumaliza na GPA nzuri i. e zaidi ya 3 ili waweze kuendelea na masomo ya ngazi inayofuata, hivi inawezekana kusoma foundation kozi?
Na vyuo gani vinavyopokea watu wa design hio?
Mwenye uelewa naomba msaada.
Kitu kama hicho hakiwezekani tcu ndo wanapanga grade za kujiunga nazo chuoMkuu jaribu Kampala University ukatimize ndoto zako
Kila la kheri kwake katika kusoma hio kozi
Si kweli, anajiunga tu. Ukiingiza AVN.namba kama GPA haijatimia mfumo. Unakuomba uingize namba ya cheti cha kozi ya foundation. Ipo usimkatishe mtu tamaa sema awe amefanya foundation kwa masomo ya Phys, Chem na Bios na kupata GPA ya 3 na kuendelea.Ndio ipo
Sema kwa kujiunga na kozi za afya haiwezekani lazima urudie six
Si kweli, anajiunga tu. Ukiingiza AVN.namba kama GPA haijatimia mfumo. Unakuomba uingize namba ya cheti cha kozi ya foundation. Ipo usimkatishe mtu tamaa sema awe amefanya foundation kwa masomo ya Phys, Chem na Bios na kupata GPA ya 3 na kuendelea.hapo umeona neno foundation??