Msaada: Kuhusu foundation course za Clinical Officer

Mchinox

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
242
Reaction score
268
Kwa graduate wa Clinical Officer ambao wameshindwa kumaliza na GPA nzuri i. e zaidi ya 3 ili waweze kuendelea na masomo ya ngazi inayofuata, hivi inawezekana kusoma foundation kozi?

Na vyuo gani vinavyopokea watu wa design hio?

Mwenye uelewa naomba msaada.
 
Option ni mbili soma firm six upya au jiunge na open usome foundation course
 
Ndio ipo

Sema kwa kujiunga na kozi za afya haiwezekani lazima urudie six
Hiko ndo najua kwa koziya afya haipo hiko kitu..na kama kashinda diploma kupata angalau maksi za kuendea huko form 6 hataweza kabisa maana bila ya 1.3-6 asahau watoto wanafaulu sana.
 
Kabisa skuizi madogo wanspasua competition imekuwa kubwa
 
Kwa graduate wa Clinical Officer ambao wameshindwa kumaliza na GPA nzuri i. e zaidi ya 3 ili waweze kuendelea na masomo ya ngazi inayofuata, hivi inawezekana kusoma foundation kozi?

Na vyuo gani vinavyopokea watu wa design hio?

Mwenye uelewa naomba msaada.
Mkuu jaribu Kampala University ukatimize ndoto zako
 
Cha kufanya ajitahidi kujiunga na form six asome mwaka mmoja afanya mitihani apate marks zake za kawaida ndo ajiunga na hio kamapala maana pale wanapokea minimum qualifications za hio kozi hamna option nyingine zaidi ya hio
 
Ndio ipo

Sema kwa kujiunga na kozi za afya haiwezekani lazima urudie six
Si kweli, anajiunga tu. Ukiingiza AVN.namba kama GPA haijatimia mfumo. Unakuomba uingize namba ya cheti cha kozi ya foundation. Ipo usimkatishe mtu tamaa sema awe amefanya foundation kwa masomo ya Phys, Chem na Bios na kupata GPA ya 3 na kuendelea.
 
Vyuo vyote tu wanapokea sema competition ndo balaa. Ila jaribu sana sana vya private huko. Make sure O level umefanya vizuri usipungue C za masomo ya sayansi ikiwemo Hesabu.
 
Si kweli, anajiunga tu. Ukiingiza AVN.namba kama GPA haijatimia mfumo. Unakuomba uingize namba ya cheti cha kozi ya foundation. Ipo usimkatishe mtu tamaa sema awe amefanya foundation kwa masomo ya Phys, Chem na Bios na kupata GPA ya 3 na kuendelea.
Screenshot_20240713-123252.png
hapo umeona neno foundation??
 
Back
Top Bottom