Amekosea kweli kweliKila siku tunasema, Gearbox kama haijakudumbua usimwage oil yake tembea nayo hata milele kukiko kuimwaga maana kuapata itakayofaa ndio mxiki
badilisha gearbox mounting weka nyingine
mk.Asante mkuu
Hakuna universal formula boss! Cha msingi angalia gari yako wame'recommend uipime wakati gani!Wakuu nataka elimu kidogo, swali langu ni
Unapimaje oil ya gia box? Wengine wanasema washa gqri iwache kwa muda ndio uipime, wengine wanasema pima oil wakati gari ushazima, sasa hapo wakuu ukweli upo wapi? Nashukuru
Umezidisha oil tafuta mtu mzuri akusaidie kupima.Kawaida tu na tatizo lineanza baada ya kumwaga oil ya gearbox
Tatizo litarudi tena na hiyo gearbox inaenda kufa kwa sababu umeweka ATF fake.Nashukuru nimefanya hvyo tatizo limeisha
Manual ya gari yako ndiyo ilikuelekeza hivyo?Hakuna universal formula boss! Cha msingi angalia gari yako wame'recommend uipime wakati gani!
Yangu unaweza kuangalia muda wowote haijalishi iko on au off..
Unatumia gari gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo litarudi tena na hiyo gearbox inaenda kufa kwa sababu umeweka ATF fake.
Zifuatazo ni changamoto za mambo ya ATF:
1)Kuwa na kiherehere cha kumwaga ATF wakati deepstick imeandikwa kuwa usimwage ATF
2)Kumwaga ATF na kuweka fake
3)Kuweka ATF original lakini ukazidisha kiwango
4)Kuchelewa kumwaga ATF hadi kilometer stahiki zinaisha as recommended by manual
5)ATF kupungua level bila ya dereva kujua(Leakage)
Yote haya yanaua gearbox
Soma kwenye manual ya gari yako kwa sababu inatofautiana kutoka aina moja ya gari hadi nyingine.Kuna gari huruhusiwi kubadilisha kabisa na ukikosea ukabadilisha kimbembe cha gearbox kinaanzia hapo.Kwa kawaida ATF inatakiwa ibadilishwe baada ya muda gani?
Hii haihusiani na sisi tunaonunua gari za mkononi mkuu.Soma kwenye manual ya gari yako kwa sababu inatofautiana kutoka aina moja ya gari hadi nyingine.Kuna gari huruhusiwi kubadilisha kabisa na ukikosea ukabadilisha kimbembe cha gearbox kinaanzia hapo.
Ukinunua gari ya mkononi nenda google udownload manual yake.Gazi zote manual zake zipo google.Hii haihusiani na sisi tunaonunua gari za mkononi mkuu.
Maana nyingi hazina manual guide books.
Wakuu samahani kwa kuwachanganyia topic Nina shida na adapter ya dell computer DA-2....Yeyote mwenye nayo au ansaidie kuipata wassalamWakuu gari yangu IST nikiweka gear D kabla sijaondoka inashtuka alafu kama kuna kimlio inaweza kuwa ni tatizo nini