Msaada kuhusu gear box

Msaada kuhusu gear box

Wakuu nataka elimu kidogo, swali langu ni
Unapimaje oil ya gia box? Wengine wanasema washa gqri iwache kwa muda ndio uipime, wengine wanasema pima oil wakati gari ushazima, sasa hapo wakuu ukweli upo wapi? Nashukuru
Hakuna universal formula boss! Cha msingi angalia gari yako wame'recommend uipime wakati gani!

Yangu unaweza kuangalia muda wowote haijalishi iko on au off..

Unatumia gari gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chomoa Deep stick ya kupimia oil ktk hio geabox kisha ifute vizuri hlf iangalie kwa umkini saana hio stiki,utakuta namba za oil hapo zimeandikwa
Kanunue oil hio hio ilioandikwa kwenye hio stick
Nakushauri....ipaki gari usitembee nayo au utaunguza sensa ya gearbox,hapo ndipo mshikemshike utapoanza...
Ipaki mpk uweke hio oil,
 
Nashukuru nimefanya hvyo tatizo limeisha
Tatizo litarudi tena na hiyo gearbox inaenda kufa kwa sababu umeweka ATF fake.

Zifuatazo ni changamoto za mambo ya ATF:

1)Kuwa na kiherehere cha kumwaga ATF wakati deepstick imeandikwa kuwa usimwage ATF

2)Kumwaga ATF na kuweka fake

3)Kuweka ATF original lakini ukazidisha kiwango

4)Kuchelewa kumwaga ATF hadi kilometer stahiki zinaisha as recommended by manual

5)ATF kupungua level bila ya dereva kujua(Leakage)

Yote haya yanaua gearbox
 
Kwa kawaida ATF inatakiwa ibadilishwe baada ya muda gani?
 
Kwa kawaida ATF inatakiwa ibadilishwe baada ya muda gani?
Soma kwenye manual ya gari yako kwa sababu inatofautiana kutoka aina moja ya gari hadi nyingine.Kuna gari huruhusiwi kubadilisha kabisa na ukikosea ukabadilisha kimbembe cha gearbox kinaanzia hapo.
 
Soma kwenye manual ya gari yako kwa sababu inatofautiana kutoka aina moja ya gari hadi nyingine.Kuna gari huruhusiwi kubadilisha kabisa na ukikosea ukabadilisha kimbembe cha gearbox kinaanzia hapo.
Hii haihusiani na sisi tunaonunua gari za mkononi mkuu.
Maana nyingi hazina manual guide books.
 
Wakuu gari yangu IST nikiweka gear D kabla sijaondoka inashtuka alafu kama kuna kimlio inaweza kuwa ni tatizo nini
Wakuu samahani kwa kuwachanganyia topic Nina shida na adapter ya dell computer DA-2....Yeyote mwenye nayo au ansaidie kuipata wassalam

Screenshot_20210702-210318.png
 
Back
Top Bottom