Msaada kuhusu gear box

Msaada kuhusu gear box

Dah mwezi sasa kopo nishatupa ila nilinunua 93000 hv
Kama sio hii ATF Type T-IV paki gari nenda Toyota kanunue nyingine.

images (9).jpeg
 
Wakuu nataka elimu kidogo, swali langu ni
Unapimaje oil ya gia box? Wengine wanasema washa gqri iwache kwa muda ndio uipime, wengine wanasema pima oil wakati gari ushazima, sasa hapo wakuu ukweli upo wapi? Nashukuru
 
Wakuu gari yangu IST nikiweka gear D kabla sijaondoka inashtuka alafu kama kuna kimlio inaweza kuwa ni tatizo nini
Toa hiyo transmission fluid uliyoweka ni mbaya. Nunua ATF yenye kiwango cha juu hata kama bei ni ghali, ATF za sh 5000 ni rahisi wakati unanunua lakini ni ghali sana kwa matatizo italeta kwenye gearbox

Hiyo clicking inasababishwa na ATF na ukiacha iendelee gearbox inakufa, na ukichunguza zaidi hata ubadilishaji lazima inachelewa hiyo nayo ni gharama kwa matumizi ya mafuta
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom