Msaada kuhusu geoinformatics

YATIMA WA TCU

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
5
mm nimuhitimu wa kidato cha 6 mwaka huu nimefanya 2 round app imenbidi nachague geoinformatcs haliyakwamba sifahamu chochote kuhusiana na geoinformatics aswa ktk swala laajira msaada jaman naomba kusaidiwa soko lake laajira lipo vp.
 
u will never regret..ni course ambazo zina market sana na ziczosumbua ajira!!but u need 2 work hard course ni ngumu kimtindo
 
nashukuru xana mkuu bt naomba unijuze kidogo inahusiana na nn aswaaa..
 
nashukuru xana mkuu bt naomba unijuze kidogo inahusiana na nn aswaaa..

Naomba nikurekebishe kitu!!
Utachaguaje koz usiyojua inahusiana na nin?? Je kama wanasomea maswala ya vifo na kuzimu?? We unajaza tu!! Nyie ndio mnakuja jutia mkifika semister ya pili!!
Kwa ushauri tu...hiyo sio koz mbaya na kama mdau alivosema hapo juu inahitahiji umakin..swala la ajira si baya maana hao wataalam wako wachache!! Kila la heri...
 
mm nimuhitimu wa kidato cha 6 mwaka huu nimefanya 2 round app imenbidi nachague geoinformatcs haliyakwamba sifahamu chochote kuhusiana na geoinformatics aswa ktk swala laajira msaada jaman naomba kusaidiwa soko lake laajira lipo vp.

Ni course nzuri lakini sio saaana kama wanavyosema inahusika na mambo ya kurekodi au kutunza data za Geomatics kwenye system. For my advice ukichaguliwa course hiyo uombe kuhamia Information System Management ipo school moja na hiyo Geo.... lkn ile better than Geo.... kwakuwa unaweza fanya kazi za IT kawaida na za Geoinformatics
 

mh...kaka ucseme hio information systems management ni bora kuliko geoinformatics..it will never happen coz nazijua zote mbili na nimesoma hio ism hapo ardhi..waliograduate mwaka jana ism 80% wapo mtaan hawana dili but geoinfo wa mwaka huu wana hata vitempo,.so ucje ukajiroga kuhamia ism coz ile ni IT ya kawaida2 na walimu wake 90% wana degree2 hata master hawana
 
asanteni sana wadau..lakina kama kunaushauri zaid tapafadhali msisite kunijuza..lakn kutokana na mambo yalivyo kuwa haya eleweki niliamua kujaza form za DPLOMA za chuo cha UDOM kwa kozi 3 tofauti ambazo ni petroliam engrng,ming engrng pamoja na geology sasa msaada wenu nielekee wapi wakuu..ushauri wenu ndio future yang tafadhalin nisaidieni..ASANTEN SANA
 
Kama umepata geoinfo soma hio..yann kusoma diploma wakati una pass za degree
 
sawaa kakaa nashukuru sana

Geoinformatics ni sayansi au teknolojia inayosshughulika na taariafa ya anga (spatial), ukusanyaji wake, mchanganuo , hifadhi yake, processing na usambazaji wake, ikiwa ni pamoja na miundombinu muhimu ya kupata matumizi bora ya habari hii. Kwa kifupi geoinformatics inashughulika zaidi na mambo ya survey vikiwemo viwanja n.k. Ni kozi nzuri sana hautajuta kuichagua. Utaweza pata kazi wizara ya ardhi, manispaa, migodini, civil works, na sehemu nyingi tu zinazofanana na matumizi ya ardhi. Inatumia Geographyical Information Systems (GIS).
 
satedte
....excellent bro..
 
Tembelea tovuti ya Chuo Kikuu Ardhi Ardhi University kule utaweza pata habari zaidi na za uhakika. Maana naona hapa kuna wababaishaji (hivi tafsiri ya 'spatial' inaweza kuwa 'anga'?- Makubwa!!!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…