Msaada kuhusu gharama (unit cost) za "sevice & maintenance of office equipment"

John L. Mihambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
526
Reaction score
177
Wakuu nilikuwa napitia document za tenda zilizo tangazwa na GPsa kwa mwaka ujao wa fedha 2014-2017.
Kipengele cha kwenye gharama ambazo supplier inabidi ajaze anapoomba tenda hiyo ndiyo pamenipa taabu kidogo. Kwa bahati mbaya nimekosa ushirikiano wa kutosha kwa wadau ambao wamefanya kazi hizo kwa muda mrefu.
Tafadhali wakuu naomba wazoefu mnipe msaada hapo!
 
Wewe utakua kanjanja. Kama kweli unatoa huduma za service and maintance of office equipment ungekuwa unajua bei zake na wala usingepata shida kujaza. This is a big joke.
 
Wewe utakua kanjanja. Kama kweli unatoa huduma za service and maintance of office equipment ungekuwa unajua bei zake na wala usingepata shida kujaza. This is a big joke.
Mkuu think big basi, hivi hujui kama kuna bei za Kiserikali na nyinginezo? Jaribu kujifikirisha basi hata kidogo tu! This is big joke too, teh teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…