John L. Mihambo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 526
- 177
Wakuu nilikuwa napitia document za tenda zilizo tangazwa na GPsa kwa mwaka ujao wa fedha 2014-2017.
Kipengele cha kwenye gharama ambazo supplier inabidi ajaze anapoomba tenda hiyo ndiyo pamenipa taabu kidogo. Kwa bahati mbaya nimekosa ushirikiano wa kutosha kwa wadau ambao wamefanya kazi hizo kwa muda mrefu.
Tafadhali wakuu naomba wazoefu mnipe msaada hapo!