Msaada kuhusu gpa.

Msaada kuhusu gpa.

Baba Lai

Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
36
Reaction score
3
Hamjambo wanajamvi wenzangu,naombeni mnijulishe kuwa SECOND CLASS ni GPA inayoanzia ngapi?please wadau nisaidieni.
Ahsanten sana.
 
Hamjambo wanajamvi wenzangu,naombeni mnijulishe kuwa SECOND CLASS ni GPA inayoanzia ngapi?please wadau nisaidieni.
Ahsanten sana.

Angalia kwenye prospectus ya chuo
usomacho!! kwanza hata hukueleza ni
GPA ya levo ya degree,diploma au
certificate!!
 
Back
Top Bottom