Habari WanaJF Naomba msaada kuhusu hawa jamaa na hii A/C yao ya TAJIRIKA wao ndo pekee wanaotoa RIBA au kuna wengine na kuna akaunti zingine zitoazo RIBA Hata kama ni BANK tofauti na Taratibu za kufungua A/C zikoje?Na hata distribution ya matawi yao.