Santana
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 300
- 940
Habari za asubuhi Wana JF natumaini wengi ni wazima wa afya wengine tunachangamoto ndogondogo za kiafya .Ngoja niende moja kwa moja kwenye shida yangu.
Toka jumamosi jioni nahisi maumivu ya kichwa kwa upande wa juu apa na pembeni na kama nikiinama kwa mbele ivi Hali ndo inabizidi kuwa mbaya ,Ila Kuna mda maumivu yanatulia badae Hali inarudi ileile.
Msaada kwa watalaamu wa afya