Hakuna hospitali huko kwenu?Habari za asubuhi Wana JF natumaini wengi ni wazima wa afya wengine tunachangamoto ndogondogo za kiafya .Ngoja niende moja kwa moja kwenye shida yangu..
Kwanza kabisa elewa kuna vitu ambavyo vinaweza kusababisha kichwa kukuuma kama;Habari za asubuhi Wana JF natumaini wengi ni wazima wa afya wengine tunachangamoto ndogondogo za kiafya .Ngoja niende moja kwa moja kwenye shida yangu.
Toka jumamosi jioni nahisi maumivu ya kichwa kwa upande wa juu apa na pembeni na Kama nikiinama kwa mbele ivi Hali ndo inabizidi kuwa mbaya ,Ila Kuna mda maumivu yanatulia badae Hali inarudi ileile .
Msaada kwa watalaamu wa afya
Hicho itakuwa kipanda uso mkuu, mojawapo ya dalili ingine pia ni kuumizwa na mwanga wa taaHabari za asubuhi Wana JF natumaini wengi ni wazima wa afya wengine tunachangamoto ndogondogo za kiafya .Ngoja niende moja kwa moja kwenye shida yangu.
Toka jumamosi jioni nahisi maumivu ya kichwa kwa upande wa juu apa na pembeni na kama nikiinama kwa mbele ivi Hali ndo inabizidi kuwa mbaya ,Ila Kuna mda maumivu yanatulia badae Hali inarudi ileile.
Msaada kwa watalaamu wa afya