Ndugu zangu wana JF naomba ushauri,mwaka wa masomo 2013/14 nilichaguliwa kujiunga UDOM(BED-Policy planning and management) muda wa kuripot ulipofka sikuweza kuripoti kwasababu ya kuumwa,nilipona wakati wa usajiri ulikuwa umekwisha nilipoenda chuo wakasema hata kupostpone haiwezekani niende nacte wakaniambie nifanyaje ili niwewe kuanza mwaka wa masomo mpya kwa chuo kilekile na kozi ileile ili kulinda mkopo wangu,nacte wakanambia niombe upya watanipa koz ileile chuo cha udom ,niliomba ndonasubir wamesema kesho ndo watatoa majina,naomba ushaur endapo nitapata koz ilile ya mwaka jana ambayo nilipata mkopo je nifanyaje ili nipate mkopo wangu wa mwaka jana?na documents za ugonjwa ninazo.NAOMBENI USHAURI NDUGU ZANGU.