Msaada kuhusu HESLB

Msaada kuhusu HESLB

jamani mbona vyuo vinafunguliwa lakini majina ya mikopo hayaonekani? Au kuna anaejua ni lini majina yatatoka.tusaidieni jamani

mkuu nchi ni balaa sana sishangai sana. maana mimi nimeamua kurudi home mpaka walete pesa ndion narudi chuo unaweza kufa njaa mkuu
 
mimi sikulipot chuon mwaka jana nikawaandikia barua heslb na sasa nikaomba upya nikapata chuo.
so nawasikilizia kama watanipa tena au laa.
au ndo mpaka nikaripot tena heslb?

Kama chuo chako cha mwaka jana kilirudisha mkopo uliopewa, basi jiandae na kupata mkopo mwaka huu. Kama walitumia mkopo wako, jiandae kukalia jiwe.
Mwaka 2012 nilikua bodi ya mikopo kufuatilia mkopo wa mdogo wangu aliyeahirisha mwaka (2011). Cha ajabu nilikuta wanafunzi wengi wenye tatizo kama la mdogo wangu. Wengi wao walikua wamechaguliwa vyuo vya PRIVATE hapo awali na hawakuripoti, ila vyuo vyao vikatumia mkopo wao! Wale wanafunzi waliwajibika kulipa deni ili wapate mkopo upya.
Kuhusu kuwaona bodi ya mikopo, naona kwa sasa muda umeshaenda. Subiri matokeo kwanza. Yakitoka tofauti itabidi uwafuate! Huwa wanamajibu ya mkato, ila usikate tamaa kutokana na majibu yao!
 
duh... sa mbona baraa but niliwaandikia barua ya kuahirisha mwaka na wausitishe mkopo.. but ngoja nisubir itakavyokua.
 
Habari zenu wanandugu, samahani kwa usumbuf ila kuna swal linaniumiza kichwa ukijumlisha na presha ya maneno nnayockia mtaan. Je habari za wanafunz wa diploma waliochaguliwa na TCU ktk koz mbal mbal za dgree hawatapata mkopo labda wale walioomba koz za sayans na ualim.
 
Back
Top Bottom