Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Unataka kupga koz ganAisee asikwambie mtu, life is a battle you advance toward the enermy and reorganize when confronted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kupga koz ganAisee asikwambie mtu, life is a battle you advance toward the enermy and reorganize when confronted
jamani mbona vyuo vinafunguliwa lakini majina ya mikopo hayaonekani? Au kuna anaejua ni lini majina yatatoka.tusaidieni jamani
mimi sikulipot chuon mwaka jana nikawaandikia barua heslb na sasa nikaomba upya nikapata chuo.
so nawasikilizia kama watanipa tena au laa.
au ndo mpaka nikaripot tena heslb?
duh... sa mbona baraa but niliwaandikia barua ya kuahirisha mwaka na wausitishe mkopo.. but ngoja nisubir itakavyokua.Kama chuo chako cha mwaka jana kilirudisha mkopo uliopewa, basi jiandae na kupata mkopo mwaka huu. Kama walitumia mkopo wako, jiandae kukalia jiwe.
Mwaka 2012 nilikua bodi ya mikopo kufuatilia mkopo wa mdogo wangu aliyeahirisha mwaka (2011). Cha ajabu nilikuta wanafunzi wengi wenye tatizo kama la mdogo wangu. Wengi wao walikua wamechaguliwa vyuo vya PRIVATE hapo awali na hawakuripoti, ila vyuo vyao vikatumia mkopo wao! Wale wanafunzi waliwajibika kulipa deni ili wapate mkopo upya.
Kuhusu kuwaona bodi ya mikopo, naona kwa sasa muda umeshaenda. Subiri matokeo kwanza. Yakitoka tofauti itabidi uwafuate! Huwa wanamajibu ya mkato, ila usikate tamaa kutokana na majibu yao!