Msaada kuhusu HESLB

Mr.Aki

Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Ndugu zangu wana JF naomba ushauri,mwaka wa masomo 2013/14 nilichaguliwa kujiunga UDOM(BED-Policy planning and management) muda wa kuripot ulipofka sikuweza kuripoti kwasababu ya kuumwa,nilipona wakati wa usajiri ulikuwa umekwisha nilipoenda chuo wakasema hata kupostpone haiwezekani niende nacte wakaniambie nifanyaje ili niwewe kuanza mwaka wa masomo mpya kwa chuo kilekile na kozi ileile ili kulinda mkopo wangu,nacte wakanambia niombe upya watanipa koz ileile chuo cha udom ,niliomba ndonasubir wamesema kesho ndo watatoa majina,naomba ushaur endapo nitapata koz ilile ya mwaka jana ambayo nilipata mkopo je nifanyaje ili nipate mkopo wangu wa mwaka jana?na documents za ugonjwa ninazo.NAOMBENI USHAURI NDUGU ZANGU.
 
Mkopo uliomba tena kwa mara ya pili?kama umeomba upya haina shida utapata mkopo kama umechagua kozi zenye priority.pia suala la kusema watakuchagua kozi uliyoiacha kuisoma,mimi naona ni probabiliy wanaweza wakakuchagua hata kwenye kozi nyingine na mkopo ukapata.
 
Sijaomba mkopo mwaka huu kwasababu bod walitoa kigezo kwa aliyemaliza diploma kuanzia mwaka 2011 kurudi nyuma hana sifa ya kupata mkopo,mimi nilimaliza 2011 diploma,,je nikipata koz ileile ya mwaka jana nikienda bodi kupeleka vielelezo vya kutoweza kuripoti chuo je mkopo wa mwaka jana wanaweza kunipa mwaka huu.?
 

HIKI KITENDO NI CHA UBAGUZI sana. MIMI MWENYEWE NILIHITIMU 2011 ILA NILIOMBA ZAIDI NAMTEGEMEA MWENYEZI MUNGU ANITANGULIE


KIGEZO CHAO NI KUWA KTK MIAKA MITATU MTU UNAKUWA NA AJIRA NA UNAO UWEZO WA KUJISOMESHA. HII HOJA NI MFU KWANI AJIRA ZENYEWE KUPATA NI TABU.

KWA KWELI WATOTO WA WAKULIMA TABU TUNAYO.
 

Yani kaka we acha tu,hii ndo tanzania full maumivu
 
msaada plz mm nimeomba mkopo bt ndio mwaka wa pili coz last yr nikosa bt nasikia mkopo mwaka huu yatakoka mojakwa moja na post so sisi tunaoingia mwaka wa pili inakuaje.uck mwema wapendwa
 
msaada plz mm nimeomba mkopo bt ndio mwaka wa pili coz last yr nikosa bt nasikia mkopo mwaka huu yatakoka mojakwa moja na post so sisi tunaoingia mwaka wa pili inakuaje.uck mwema wapendwa

Si Kweli kwani kama unakidhi vigezo waweza kupata.
 
jamani mbona vyuo vinafunguliwa lakini majina ya mikopo hayaonekani? Au kuna anaejua ni lini majina yatatoka.tusaidieni jamani
 

hata kama watoto wa wakulima,ila mengine tunasababisha wenyewe,huwezi kukaa kitaa miaka mitatu bila kufanya harakati!!
 
eti kama uliahirisha mwaka kupata mkopo mwaka ujao inakua ni shida?

Kuna kesi mbili,
1. Kuahirisha mwaka wa masomo kwa kufuata taratibu zote (chuo na bodi wafahamu kama umeahirisha mwaka wa masomo). Hapa utapata mkopo. Unatakiwa kuwafahamisha HESLB kama umerudi mjengoni ili waachie mzigo.
2. Kuacha chuo. Hapa ni kwamba, umekimbia masomo bila kufuata utaratibu wowowe. Hapa utapata mkopo endapo tu
(i) ulilipa 25% ya pesa uliyotumia kwenye mkopo wako wa awali!
(ii) uliomba mkopo upya!
 
mimi sikulipot chuon mwaka jana nikawaandikia barua heslb na sasa nikaomba upya nikapata chuo.
so nawasikilizia kama watanipa tena au laa.
au ndo mpaka nikaripot tena heslb?
 
Wadau mimi nilimaliza advance 2006 je ntaeza kupata mkopo mwaka huu
 
Mkopa unapata haina xhida xa braza muda wot£ huo ulikuwa waap
Aisee asikwambie mtu, life is a battle you advance toward the enermy and reorganize when confronted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…