S stan b Member Joined Sep 8, 2011 Posts 85 Reaction score 10 Oct 2, 2011 #1 naomba kuuliza, hivi bodi ya mkopo ilipewa wiki 2 kuhakiki waliokosa mikopo kwa lengo gani? mbona sijaona matokeo yoyote baada ya uhakiki wao?
naomba kuuliza, hivi bodi ya mkopo ilipewa wiki 2 kuhakiki waliokosa mikopo kwa lengo gani? mbona sijaona matokeo yoyote baada ya uhakiki wao?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Oct 2, 2011 #2 We unawaskilza hao vilaza wenzake na jk!