Msaada Kuhusu hii gari Skyline

Ipo fuga ya cc 2500 kiongozi ambayo ni v6 pia.
mkuu naona muundo wa fuga kidogo uko tofauti na wa skyline ambao umenivutia mimi.
 

Attachments

  • 800px-Nissan_FUGA_HYBRID_%28HY51%29_and_SKYLINE_350GT_HYBRID_Type_SP_%28HV37%29_rear.JPG
    48.1 KB · Views: 171
Hahaha..acheni kufananisha Nissan Skyline na magari ya ajabu....

hilo gari ..kuna spidi likifika matair ya mbele yanakua kama yananyanyuka...kama linataka kupaa hivi.. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Msaada kwa anayeyajua maduka yenye uhakika yenye spea za nissan kwa dar es salaam!
 
Wakuu vipi kuhusu Nissan Serena ya 2006 engine code MR20, nataka ya familia
 

Attachments

  • nissan.jpg
    24.7 KB · Views: 96
Nisan skyline ina speed ngapi inafika 260 kama AUD A4
 
mkuu vipi kuhusu consumption yake?
Unauliza consumption kwa gari ya V6? Hapo usiwe muwekaji wa mafuta ya kibaba...
Niliwahi kuwa na V6 moja 3000 cc, yani ni kwamba hakuna mtu anayeweza kukuletea fyoko fyoko huko bara barani...
 
Skyline is a sick ride... Likes of toyota Celica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…