Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
real?? mbona iko na changanya fasta sana zaid ya skylineTeza sio gt na wala spot car, ni gari kama chaser tu imewekewa body ya spot car
hapana mkuu Nissan Skyline inachanganya 0-100 km/h in 7.6 sec na altezza 0-100 in 8.5 km/h.real?? mbona iko na changanya fasta sana zaid ya skyline
Token=TakenAdvice token!
Nissan CIMA MNYAMANissan Fuga
Nissan Teana
Nissan Skyline
Baba FUGA ukitaka kuuza utaomba poooInataka resemble na kitu moja yaitwa Nissan FUGA (hatari sana hii gari) mjini hazionekani ovyo ovyo hizi FUGA...chukua FUGA.
Fuga inafanana na Nissan Teana... All in all nissan ni gari nzurimkuu naona muundo wa fuga kidogo uko tofauti na wa skyline ambao umenivutia mimi.
Master CardMsaada kwa anayeyajua maduka yenye uhakika yenye spea za nissan kwa dar es salaam!
InterestingHivi vyombo vya moto ni muhimu kuangalia dashboard kuliko macho mbele muda wote, maana ukiwa ndani waweza fikiri speed ni 20 kumbe 160
Hahahahah aaaaaah mbavu zanguChukua hiyo kitu ila chonde Chonde mguu na pedal
Baba ina speed ngapi?skyline 250gt barabarani wanaweza wakajua umerogwa, kumbe mzuka tu...
Unauliza consumption kwa gari ya V6? Hapo usiwe muwekaji wa mafuta ya kibaba...mkuu vipi kuhusu consumption yake?
aina gani jaribu bmw x5Unauliza consumption kwa gari ya V6? Hapo usiwe muwekaji wa mafuta ya kibaba...
Niliwahi kuwa na V6 moja 3000 cc, yani ni kwamba hakuna mtu anayeweza kukuletea fyoko fyoko huko bara barani...