Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru wa kufa na corona? Anti-vax nashindwa kuwaelewa kabisa.Majaribio ya chanjo yameshafanywa
Na Sasa inatakiwa kila mtu apigwe chanjo la sivyo hautaweza Kutoka kudrive, school or any event
UHURU umeondoka
[emoji23][emoji23][emoji23] GOOGLE translator .Majaribio ya chanjo yameshafanywa
Na Sasa inatakiwa kila mtu apigwe chanjo la sivyo hautaweza Kutoka kudrive, school or Any outside events, UHURU umeondoka
Kuhusu hii ishu ya corona mpaka sasa hivi nina conspiracy zisizo pungua kumi,
1. China ametengeneza ugonjwa ili awashushe wengine kiuchumi
2. Marekani ametengeneza ugonjwa ili awape msala China kwenye umoja wa mataifa
3. Ugonjwa ulitabiriwa miaka mingi siku nyuma na waandishi wa vitabu mbali mbali
4. Ugonjwa ulitengenezwa kwa corabo ya Mmarekani na China ili waweze kuicontrol dunia vizuri
5. Huu ugonjwa ni pigo kutoka kwa Mungu kwa ajili ya kuwakumbusha watu warudi katika njia yake
6. Ugonjwa ulitabiriwa na (da vinci kama nitakuwa sijakosea) kuwa utaenda kuua uchumi wa dunia
7. Marekani ametengeneza ugonjwa ila ameshindwa kuucontrol na hivyo kupelekea mlipuko mkubwa
8. Mkakati wa new world order katika kupunguza population ya dunia ili kuimarisha utawala wao
9. Ugonjwa ni kama magonjwa mengine tu ya kawaida hauna maana yoyote
10. Huu ndio mwisho wa dunia yani kiama kimefika au parapanda ndio inakwenda kulia kwa hiyo muda wa unyakuo umefika
Na mengine mengi mengi aisee[emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Am not Anti-vax, I just Summarize the Tweet into Swahili. Inaonekana there is Something behind those Vaccines that's why Kiyosaki Said Freedom GoneUhuru wa kufa na corona? Anti-vax nashindwa kuwaelewa kabisa.
Sent From Galaxy S9
Hahahahh Aisee
Kwani huyu Kiyosaki ni nani mpaka tweet yake ipewe kipaumbele?Am not Anti-vax, I just Summarize the Tweet into Swahili. Inaonekana there is Something behind those Vaccines that's why Kiyosaki Said Freedom Gone
Muandishi nguri wa vitabu kule marekani kama vile rich daddy poor daddyKwani huyu Kiyosaki ni nani mpaka tweet yake ipewe kipaumbele?
Am not Anti-vax, I just Summarize the Tweet into Swahili. Inaonekana there is Something behind those Vaccines that's why Kiyosaki Said Freedom Gone