Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Apr 9, 2020 #21 Ndo kusema chapa ya mnyama tuliotabiriwa the 6666 i mbioni kuja? ndo kusema mwisho wa dunia u karibu?? Nawaza kwa sauti huku nikivuna karanga zangu
Ndo kusema chapa ya mnyama tuliotabiriwa the 6666 i mbioni kuja? ndo kusema mwisho wa dunia u karibu?? Nawaza kwa sauti huku nikivuna karanga zangu
Uwazitu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2019 Posts 1,419 Reaction score 1,397 Apr 9, 2020 #22 Kwa Wasomaji wa Biblia. Imetajwa namba 666 na kupingwa chapa ili uweze kuuza na kununua. Mnyama Mkuu (Taifa kubwa lenye nguvu kivita, kiutawala na kibiashara) Magonjwa kuanzia Mashariki hadi Magharibi. Eleweni MWISHO UNAKARIBIA. DUMUNI KATIKA MAOMBI.
Kwa Wasomaji wa Biblia. Imetajwa namba 666 na kupingwa chapa ili uweze kuuza na kununua. Mnyama Mkuu (Taifa kubwa lenye nguvu kivita, kiutawala na kibiashara) Magonjwa kuanzia Mashariki hadi Magharibi. Eleweni MWISHO UNAKARIBIA. DUMUNI KATIKA MAOMBI.