Msaada kuhusu hii twitter ya Kiyosaki

Ndo kusema chapa ya mnyama tuliotabiriwa the 6666 i mbioni kuja? ndo kusema mwisho wa dunia u karibu?? Nawaza kwa sauti huku nikivuna karanga zangu
 
Kwa Wasomaji wa Biblia.

Imetajwa namba 666 na kupingwa chapa ili uweze kuuza na kununua.

Mnyama Mkuu (Taifa kubwa lenye nguvu kivita, kiutawala na kibiashara)

Magonjwa kuanzia Mashariki hadi Magharibi.

Eleweni MWISHO UNAKARIBIA.

DUMUNI KATIKA MAOMBI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…