sheria inasemaji kwa raia yoyote wa watanzania aliyehujumu uchumi wa nchi,je inamruhusu amiri jeshi mkuu kumpa muda wa kujirekebisha tu bila adhabu.
Lakini pia je kwa mtu kama huyu ambaye amekamatwa, kwa mfano na nyala ya serikali,,je wakili ana nafasi ipi?
Je dpp na rais kisheria yupi anahaki ya kusamehe mtuhumiwa?
Naomba kuwasilisha