Msaada kuhusu hili jamanani wanasheria

Msaada kuhusu hili jamanani wanasheria

MUWHWELA

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
167
Reaction score
238
Sheria inasemaji kwa raia yoyote wa watanzania aliyehujumu uchumi wa nchi,je inamruhusu amiri jeshi mkuu kumpa muda wa kujirekebisha tu bila adhabu.

lakini pia je kwa mtu kama huyu ambaye amekamatwa, kwa mfano na nyala ya serikali,,je wakili ana nafasi ipi?

je dpp na rais kisheria yupi anahaki ya kusamehe mtuhumiwa?


naomba kuwasilisha
 
sheria inasemaji kwa raia yoyote wa watanzania aliyehujumu uchumi wa nchi,je inamruhusu amiri jeshi mkuu kumpa muda wa kujirekebisha tu bila adhabu.

Lakini pia je kwa mtu kama huyu ambaye amekamatwa, kwa mfano na nyala ya serikali,,je wakili ana nafasi ipi?

Je dpp na rais kisheria yupi anahaki ya kusamehe mtuhumiwa?


Naomba kuwasilisha

dpp hana mamlaka ya kumsamehe mtuhumiwa ila uwa anaweza kuondoa kesi mahakamani anapoona hana ushahidi wa kutosha kuendelea na kesi s.91(1) cpa, rais anayo mamlaka ya kikatiba ya kumsamehe mtu ambaye tayari ametiwa hatiani na mahakama (power of mercy), na nyara za serikali sheria ya wanyama pori inasema "ukikutwa na nyara za serikali utahesabika umezipata kwa njia haramu hadi pale utakapodhibitisha kuwa umezipa kialali au vinginevyo" the burden of proof lies upon the accused
 
Back
Top Bottom