Msaada kuhusu hili tafadhari

Msaada kuhusu hili tafadhari

PARRIE KIJIKO

Senior Member
Joined
Jul 22, 2012
Posts
110
Reaction score
12
Naomba kufahamu,et pana tofauti kati ya hivi vitu,masters v/s postgraduate?kama ipo naomba niambiwe,sambamba na ufafanuzi wa kina kwenye maneno hay😵mbi!
 
post graduate ni general term maana inaweza ikawa ni masters au advanced diploma...kwa maana hiyo tunasema masters ni post graduate degree after having first degree
 
post graduate ni general term maana inaweza ikawa ni masters au advanced diploma...kwa maana hiyo tunasema masters ni post graduate degree after having first degree

let say mtu kasoma 1st degree(Baed) then akataka somea mambo ya uchumi degree ya pili,je anaweza soma masters direct au mpaka asome advance diploma
 
let say mtu kasoma 1st degree(Baed) then akataka somea mambo ya uchumi degree ya pili,je anaweza soma masters direct au mpaka asome advance diploma

Kuhusu hilo la kutoka baed mpaka masters ya uchumi sielewi vizuri mkuu..ngoja tusubiri waelewa watujuze zaidi...!
 
Back
Top Bottom