Naomba kufahamu kuhusu hizi kemikali ambazo nimeziona watengenezea sabuni za mche na kutumika kama mbadala wa mafuta, sodium palmitate na sodium palmkernelate anayejua kuhusu hizo kemikali.
Fafanua , maaan hizi huwa zinachangwa na nyingine ni kali kiasi ambacho ukiiweka kwenye maji inakulazimu ukae dk 30 ndio uweze kushika yale mahi sasa ww unataka matumizi gani? Maa zikichanganywa ndio hutoa sabuni ya maji sabuni ya unga sabuni ya kipande nk
Naomba kufahamu kuhusu hizi kemikali ambazo nimeziona watengenezea sabuni za mche na kutumika kama mbadala wa mafuta, sodium palmitate na sodium palmkernelate anayejua kuhusu hizo kemikali.
Nilitamani kuwa na workshop ya kutengeneza sabuni za miche; changamoto ikaja kwenye malighafi hasa mafuta; mafuta yanagharama, inawezekana yasikupatie faida ile unayoitaka.
Na ukisema utumie kemikali za viwandani, itakulazimu uwe na mkemia ambaye atakuwa anachanganya huo mchanganyiko, pia watu wa mazingira itawalazimu kuja kukutembelea.
Kama unazalisha locally, na unataka utumie kemikali za viwandani, hakikisha unafuata taratibu zote zinazotakiwa; lasivyo utakutana na mambo ya sheria.