Msaada kuhusu hizi kemikali

Msaada kuhusu hizi kemikali

Njegele

Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
61
Reaction score
100
Naomba kufahamu kuhusu hizi kemikali ambazo nimeziona watengenezea sabuni za mche na kutumika kama mbadala wa mafuta, sodium palmitate na sodium palmkernelate anayejua kuhusu hizo kemikali.
 
Unataka kujua nini hapo?? maana kemikali ushazijua na google ipo. [emoji16]
 
Fafanua , maaan hizi huwa zinachangwa na nyingine ni kali kiasi ambacho ukiiweka kwenye maji inakulazimu ukae dk 30 ndio uweze kushika yale mahi sasa ww unataka matumizi gani? Maa zikichanganywa ndio hutoa sabuni ya maji sabuni ya unga sabuni ya kipande nk

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Naomba kufahamu kuhusu hizi kemikali ambazo nimeziona watengenezea sabuni za mche na kutumika kama mbadala wa mafuta, sodium palmitate na sodium palmkernelate anayejua kuhusu hizo kemikali.
Fika TATA HOLDINGS
 
Nilitamani kuwa na workshop ya kutengeneza sabuni za miche; changamoto ikaja kwenye malighafi hasa mafuta; mafuta yanagharama, inawezekana yasikupatie faida ile unayoitaka.
Na ukisema utumie kemikali za viwandani, itakulazimu uwe na mkemia ambaye atakuwa anachanganya huo mchanganyiko, pia watu wa mazingira itawalazimu kuja kukutembelea.
Kama unazalisha locally, na unataka utumie kemikali za viwandani, hakikisha unafuata taratibu zote zinazotakiwa; lasivyo utakutana na mambo ya sheria.​
 
Sabjni kwa sehemu kubwa hutumia mafuta
 
Back
Top Bottom