Salama salimini
Senior Member
- Dec 2, 2013
- 191
- 38
ngoja wataalamu waje
Asante mkuu, je una taarifa yoyote kuhusu mfumo huu wa hybrid? Kwa hawa watu masters ya social work? Kama sivyo je unamfahamu yeyote anayeweza kunipa majibu?Naomba watu wachache wasiojua wasikuharibie malengo yako.
OUT is one of the very best Universities in Tanzania and Africa at large.
Mkuu maneno uliyotumia makali sana!chuo cha kisenge sana hiki kila kitu juu yako kama unavyoona hapo ishu ipo official lakini mtandaoni haipo ukiwauliza ofisini kwao wanakwambia we soma mtandao cha kisengee sana
Mkuu maneno uliyotumia makali sana!
Ni kweli kuna mapungufu katika utoaji wa huduma na taarifa za Chuo hiki!. Mimi niko mkoani, Baada ya kuona sipati ninachokitaka niliamua kwenda kwenye ofisi zao huku mkoa. I was surprised kwamba hata mhusika alishindwa kunipa majibu, badala yake alinipa kipeperushi cha postgraduate programs ambacho licha ya kuwa ni cha zamani I.e. 2012/2013, bado kilikuwa hakina majibu. Baada ya kuhoji alionesha kutokuwa na taarifa muhimu kuhusiana na Hii mode of study. Akaishia kunipa namba ya simu akisema mpigie huyu ndio dean. To cut a long story, ....mwisho wa siku sikufanikiwa!
Msaada kwa kwenye taarifa wakuu!
Naungana na wewe kuwa Mkuu ametumia maneno makali kiasi. Hata hivyo ninaamini kuwa huenda ni kwa sababu ya "frustrations" ambazo amezipata na wote huwa tunazipata tukihitaji Taarifa kutoka Chuo Hicho Kikuu.
Mapungufu katika utoaji Taarifa wa Chuo hicho ni picha ya hali halisi ya utoaji Taarifa kwa Taasisi nyingi hapa kwetu. Huwa inasikitisha sana. Ninachoshindwa kuelewa ni kwa nini hili hutokea wakati Chuo/Taasisi kama hii ina Idara ya Mahusiano/Mawasiliano, Idara ya Masoko, n.k.
Hata hivyo ngoja tuendelee kusubiri huenda mwenye Taarifa kamili atakuja kutujuza kuhusu hiyo Kozi uliyoulizia.
Pole sana Mkuu!
Unajua kinachoshangaza zaidi ni kushindwa kuzipata taarifa muhimu hata kwenye ofisi zao wenyewe huku mikoani! (Ofisi zao za mikoa) Asante mkuu, ngoja tuwasubiri wenye taarifa, hope itakuwa mapema ili niweze kufanya maamuzi.
Salute!
Mkuu, vipi ulifanikiwa kupata Taarifa juu ya Programu ya Hybrid Mode ya OUT? Care to share with me? Thanks!
chuo cha kisenge sana hiki kila kitu juu yako kama unavyoona hapo ishu ipo official lakini mtandaoni haipo ukiwauliza ofisini kwao wanakwambia we soma mtandao cha kisengee sana