Msaada kuhusu hybrid mode ya open university of tz

Salama salimini

Senior Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
191
Reaction score
38
Ndugu zanguni, natamani kujiunga na program ya Masters of Social Work (Hybrid mode) inayotolewa na OUT.
Ninaomba kujua kuhusu muundo wa ufundishaji kwa Mfumo huu wa hybrid.

Chanzo Kimoja kilinambia kuwa panakuwa na face to face sessions ambazo watakutana mara tatu mpaka kumaliza program na kuwa each encounter takes a maximum of 5 days. Je, Hii taarifa ni sahihi?

Kwenye mtandao wao taarifa Hii Haipo. Msaada pse, ili niweze kujua Kama ni mode ambayo mtu asiye na ruhusa rasmi kutoka kazini anaweza kusoma.

Natanguliza shukurani,

Salama Salimini.
 
chuo cha kisenge sana hiki kila kitu juu yako kama unavyoona hapo ishu ipo official lakini mtandaoni haipo ukiwauliza ofisini kwao wanakwambia we soma mtandao cha kisengee sana
 
Naomba watu wachache wasiojua wasikuharibie malengo yako.
OUT is one of the very best Universities in Tanzania and Africa at large.
 
Asante mkuu, je una taarifa yoyote kuhusu mfumo huu wa hybrid? Kwa hawa watu masters ya social work? Kama sivyo je unamfahamu yeyote anayeweza kunipa majibu?
 
chuo cha kisenge sana hiki kila kitu juu yako kama unavyoona hapo ishu ipo official lakini mtandaoni haipo ukiwauliza ofisini kwao wanakwambia we soma mtandao cha kisengee sana
Mkuu maneno uliyotumia makali sana!

Ni kweli kuna mapungufu katika utoaji wa huduma na taarifa za Chuo hiki!. Mimi niko mkoani, Baada ya kuona sipati ninachokitaka niliamua kwenda kwenye ofisi zao huku mkoa. I was surprised kwamba hata mhusika alishindwa kunipa majibu, badala yake alinipa kipeperushi cha postgraduate programs ambacho licha ya kuwa ni cha zamani I.e. 2012/2013, bado kilikuwa hakina majibu. Baada ya kuhoji alionesha kutokuwa na taarifa muhimu kuhusiana na Hii mode of study. Akaishia kunipa namba ya simu akisema mpigie huyu ndio dean. To cut a long story, ....mwisho wa siku sikufanikiwa!

Msaada kwa mwenye taarifa wakuu!
 
Msaada kwa kwenye taarifa wakuu!

Naungana na wewe kuwa Mkuu ametumia maneno makali kiasi. Hata hivyo ninaamini kuwa huenda ni kwa sababu ya "frustrations" ambazo amezipata na wote huwa tunazipata tukihitaji Taarifa kutoka Chuo Hicho Kikuu.

Mapungufu katika utoaji Taarifa wa Chuo hicho ni picha ya hali halisi ya utoaji Taarifa kwa Taasisi nyingi hapa kwetu. Huwa inasikitisha sana. Ninachoshindwa kuelewa ni kwa nini hili hutokea wakati Chuo/Taasisi kama hii ina Idara ya Mahusiano/Mawasiliano, Idara ya Masoko, n.k.

Hata hivyo ngoja tuendelee kusubiri huenda mwenye Taarifa kamili atakuja kutujuza kuhusu hiyo Kozi uliyoulizia.

Pole sana Mkuu!
 
Unajua kinachoshangaza zaidi ni kushindwa kuzipata taarifa muhimu hata kwenye ofisi zao wenyewe huku mikoani! (Ofisi zao za mikoa) Asante mkuu, ngoja tuwasubiri wenye taarifa, hope itakuwa mapema ili niweze kufanya maamuzi.

Salute!
 
Mkuu, vipi ulifanikiwa kupata Taarifa juu ya Programu ya Hybrid Mode ya OUT? Care to share with me? Thanks!
 
chuo cha kisenge sana hiki kila kitu juu yako kama unavyoona hapo ishu ipo official lakini mtandaoni haipo ukiwauliza ofisini kwao wanakwambia we soma mtandao cha kisengee sana

Mliozoea kutafuniwa sasa mtamegwa!
 
Back
Top Bottom